Na ye ni mwanadamu, na dunia tunapita kama kupata kwa zamu, ooh zamu, yangu itafikaa siwezi kana damu, kesho wataja nizika ila ningependa afahamu haya mateso aloniipa
mmh. ! tena mwambieni aloninyima mimi, ndio kampa kupata foleni, nasubiri yangu mimi, hata icheleweeh
ooh ooh ooh sina furaha naigiza ilimradii, watoto wasijihisi vibaya huyu mdogo anauliza eti daddy mama ameihama kaya cha kujibu sina nabaki tu kusema
atarudii, atarudi mama atarudi, anawapenda sana atarudi, atawaletea zawadi atarudi, eeh atarudi mama atarudi, atarudi mama atarudi, anawapenda sana atarudi, atawaletea zawadi atarudih